Mzaha wa Sultan dhidi ya Magufuli wazua mjadala. | Masuala ya Jamii | DW | 01.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mzaha wa Sultan dhidi ya Magufuli wazua mjadala.

Nchini Tanzania msanii mashuhuri wa vichekesho nchini Tanzania Idris Sultan amehojiwa na polisi kutokana na makosa mawili ikiwemo moja ya kujifanya rais wa Tanzania kufuatia mzaha aliouweka kwenye mtandao wa kijamii na kuibua mjadala mkubwa. Rashid Chilumba amezungumza na Onesmo Ole Ngurumwa, Mkurugenzi wa Asasi ya watetezi wa Haki za binadamu nchini humo.

Sikiliza sauti 02:49