Mwanasheria afafanua sintofahamu uchaguzi Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 10.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mwanasheria afafanua sintofahamu uchaguzi Zanzibar

Kumekuwepo na maswali kuhusiana na mustakabali wa serikali ya umoja wa kitaifa. Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar vyama vinavyounda serikali hiyo vinapaswa kupata angalau asilimia kumi ya kura.

Sikiliza sauti 03:18

Mahojiano kati ya Isaac Gamba na Awadhi Said

Utata unajitokeza baada ya Chama cha Wananchi CUF, ambacho kina wanachama wengi visiwani humo, kusema hakitashiriki uchaguzi huo.
Awadhi Said ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Zanzibar na anafafanua zaidi juu ya utata uliopo.
Kusikiliza mahojiano bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com