1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanahalisia kushitaki serikali ya Tanzania

Yusra Buwayhid
30 Julai 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Halihalisi Publishers, wamiliki wa gazeti maarufu la Mwanahalisi, Said Kubenea, amesema wanapanga kuishitaki Serikali kwa kuisababishia hasara ya bilioni 2.2 sambamba na kumshitaki binafsi aliyekuwa Naibu Waziri Wa Habari Anastazia Wambura kwa matumizi mabaya ya madaraka, kufuatia Makama Kuu Nchini Tanzania kuondoa amri yakufungiwa gazeti hilo kwa miezi 24.

https://p.dw.com/p/32L2H