Mwakyembe: 'Sijamuona mwandishi anayefuatwa, ni porojo'
3 Mei 2017
Katika mahojiano na DW, Waziri wa Habari wa Tanzania, Harrison Mwakyembe, amekanusha madai kwamba waandishi wa habari Tanzania wanahofia kufuatiliwa au kunyanyaswa na serikali na kusema hakuna mbinyo wa uhuru wa habari.