Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Wasikilize wakazi wa Maswa huko nchini Tanzania wakielezea vile walivyouona mwaka 2020, kisha nawe niambie kwako ilikuwaje? #Kurunzi
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3nJoG
Wakenya 9 kati ya 10 wanasema hali yao ya uchumi itadorora zaidi iwapo ugonjwa wa COVID-19 utaendelea kuenea.
Licha ya serikali ya Tanzania kukiri kuwepo kwa janga la virusi vya corona nchini humo, viongozi wengi wakiwemo mawaziri wameendelea kupuuza umuhimu wa kuvaa barakoa. Wananchi wasema wanaonesha mfano mbaya.
Waziri mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern ametangaza vizuizi vya kufunga shughuli kwa siku tatu katika mji mkubwa wa Auckland baada ya kugundulika visa vitatu vya virusi vya corona.
Kwa mara ya kwanza, Rais John Magufuli wa Tanzania ametamka kuwa serikali yake haijapiga marufuku uvaaji barakoa ila amesisitiza barakoa zinazotoka nje ya nchi zisiaminike.