1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Muziki wa Tanzania wabadilisha maisha ya vijana?

9 Januari 2020

Kwa muongo mmoja uliopita, muziki wa Tanzania umethibitisha kuwa na uwezo mkubwa wa kubadilisha maisha ya vijana na kuacha kuwa vilaza damu mitaani. Ufanisi wa wanamuziki kama Diamond Platinum na Ali Kiba kimataifa unawatia moyo vijana kama Wema na Julius kupiga hatua zaidi pia.

https://p.dw.com/p/3Vwfo