Kutana na vijana walioachana na uhalifu na kuunda kikundi cha kupambana na umasikini kwa kufanya shughuli halali zinazowapa kipato huko Mtwara, Tanzania. Je jamii inawasaidia vipi vijana wenye mienendo mibaya kurudi kwenye mstari? Ripoti yake Salma Mkalibala