Msichana atoa hamasa ya ugonjwa wa Kisukari | Media Center | DW | 20.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Msichana atoa hamasa ya ugonjwa wa Kisukari

Lucy John Bosco, aliathiriwa na maradhi ya kisukari akiwa na miaka 11. Mateso yake hayakumkatisha tamaa bali imekuwa chanzo cha ujasiri kuweza kuanzisha kampeni maalumu zakuwaeleimisha wengine njia salama zakuepuka au kuishi na maradhi haya kama anavoeleza.

Tazama vidio 02:19
Sasa moja kwa moja
dakika (0)