Mradi wa kufundisha watoto wa wakulima na wafugaji Longido | Media Center | DW | 06.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mradi wa kufundisha watoto wa wakulima na wafugaji Longido

Shirika la Caritas kutoka Ujerumani linafadhili mradi wa kufundishia watoto wa jamii ya wafugaji na wakulima kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro nchini Tanzania. Walimu hutumia mazao ya shambani kama zana za kufundishia. Ifuatayo ni vidio fupi iliyopigwa na mwandishi wetu Dotto Bulendu.

Tazama vidio 03:05
Sasa moja kwa moja
dakika (0)