1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mlima Oldonyo Lengai kivutio kikubwa cha utalii Tanzania

8 Septemba 2020

Mlima Oldonyo Lengai, uliopo nje kidogo ya hifadhi ya Ngorongoro nchini Tanzania, umekuwa kivutio kikubwa kwa watalii, kama anavyosimulia Veronica Natalis katika vidio ifuatayo. #kurunzi 08.09.2020.

https://p.dw.com/p/3i9Zl