1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kukabiliana na majanga wafanyika Aachen

20 Novemba 2019

Jumuiya ya nchi zinazopakana na bahari ya Hindi wanakutana mjini Aachen hapa Ujerumani kujadili njia za kukabiliana na majanga hasa yanayotokea katika mwambao au ukanda wa bahari hiyo. Josephat Charo amezungumza na mwakilishi wa Tanzania Elisa Mugisha, Mrakibu Msaidizi wa jeshi la zimamoto na uokoaji na kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji, wa mkoa wa kizimamoto wa Ilala, Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/3TP4a