Mkasa wa wahamiaji kufariki baada ya kuzama majini | Makala | DW | 01.12.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Makala

Mkasa wa wahamiaji kufariki baada ya kuzama majini

Kisa cha wahamiaji 27 kufa maji katika ajali ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoka kambi isiyo rasmi ya Calais nchini Ufaransa, wakijaribu kuingia kimagendo nchini Uingereza, kimegeuka kuwa mzozo wa kisiasa baina ya Ufaransa na Uingereza, ambazo kila moja inajaribu kujivua majukumu ya janga hilo baya la kibinadamu na kuituhumu nyingine kutowajibika. Sikiliza makala ya Mwangaza wa Ulaya.

Sikiliza sauti 09:48