Mjasiriamali anayetumia vitu chakavu kutunza mazingira | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mjasiriamali anayetumia vitu chakavu kutunza mazingira

Matumizi ya karatasi chakavu ni miongoni mwa vyanzo vya ajira ambavo huajiri kundi kubwa la watu. Katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira,kijana mlemavu wa ngozi Jijini Dar es Salaam Sadiq Bakari ameanzisha utengenezaji wa vifungashio rafiki wa mazingira.

Tazama vidio 02:09