Mitindo mipya ya nywele kwa vijana Dar | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 26.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mitindo mipya ya nywele kwa vijana Dar

Jijini Dar es Salaam, kumeibuka hamasa kubwa ya usukaji, usokotaji na unyoaji wa mitindo mipya ya nywele kwa vijana wa kiume jambo linalo pelekea ajira miongoni mwao.

Tazama vidio 01:50
Sasa moja kwa moja
dakika (0)