1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mila za kuchagua majina ya watoto zinaendelezwa?

Lilian Mtono
28 Januari 2019

Utamaduni wa kutoa majina kwa watoto unaoonekana kuanza kupotea na watua sasa kugeukia mitandao kusaka majina ya watoto wao na wengine wakiachana kabisa na majina ya nyumbani ama ya kimila. Hali hii inakinzana kabisa na vile ilivyokuwa awali hasa katika mila za Kiafrika. Mengi yanazungumzwa kwenye makala hii ya Utamaduni na Sanaa.

https://p.dw.com/p/3CItE