1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miito ya kutaka katiba mpya Tanzania

23 Novemba 2018

Hata baada ya rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kusema hakuna fedha za kutengewa katiba mpya, miito inazidi kutolewa kwa nchi hiyo kupata katiba mpya. mwanasiasa huyu mkongwe anatoa pendekezo kuhusu namna fedha zinaweza kupatikana ili kutimiza lengo hilo. Je unakubaliana naye?

https://p.dw.com/p/38oMW