1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka miwili ya Rais Samia madarakani yapi amefanikisha?

Florence Majani
8 Machi 2023

Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Tanzania imebahatika kuwa na Rais wa kwanza mwanamke, Rais Samia Suluhu Hassan. Makala ya wanawake na maendeleo inaangazia miaka miwili ya Rais Samia, akiwa madarakani, changamoto zake kama kiongozi na mafanikio yake na aliyeandaa ni Florence Majani.

https://p.dw.com/p/4OOP6