1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka minne ya Magufuli madarakani, uchumi ukoje Tanzania?

Sudi Mnette
5 Novemba 2019

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania anatimiza miaka 4 tangu aingie madarakani. Rais huyo wa awamu ya tano alianza kazi rasmi, Novemba 5 mwaka 2015. Kutoka mjini Dar es Salaam, DW imezungumza na mchumi Gabriel Mwang'onda kuhusu hali ya kiuchumi katika miaka hiyo minne.

https://p.dw.com/p/3SU5r