Mgomo wa madereva Busia na Malaba unavyoathiri usafiri | Masuala ya Jamii | DW | 25.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mgomo wa madereva Busia na Malaba unavyoathiri usafiri

Shughuli za kibiashara katika maeneo ya mpakani mwa Kenya na Uganda ya Busia na Malaba, zinaendelea kutatizwa baada ya madereva wa malori ya mizigo kufunga barabara wakilalamikia kuhangaishwa na maafisa wa Uganda. Michael Kwena ana maelezo kamili kuhusu hali hiyo.

Sikiliza sauti 02:06