1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgece: Niliacha taaluma niliyosomea nikajitosa kubuni mavazi

9 Julai 2021

Kwenye kuvaa na kupendeza kuna ajira ndani yake, huu ni msemo wa @mgece_cici_design aliyeamua kuachana na taaluma aliyoisomea na kuingia Katika ubunifu wa mavazi sababu tu alipenda kuonekana nadhifu na sasa ameajiri wengine. @miss_hadijahalifa anazungumza naye kujua vipi ilikuwa vigumu familia yake kumuunga mkono. #msichanajasiri

https://p.dw.com/p/3wGsQ