Mfumo wa kufikisha vyakula ofisini Dar es Salaam | Media Center | DW | 17.04.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mfumo wa kufikisha vyakula ofisini Dar es Salaam

Mjini Dar es Salaam, wauzaji wa vyakula maarufu kama Mama Lishe pia wameathiriwa na janga la corona kwa msingi kwamba hamna walaji wanaofika kwa wingi katika vibanda vyao kama ilivyokuwa zamani. Hali hii imewalazimisha kuanzisha mfumo wa kufikisha vyakula kwa wateja ofisini. Hawa Bihoga anasimulia zaidi.

Tazama vidio 03:04