1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Mbosso na matumaini mapya katika muziki

Sudi Mnette2 Agosti 2018

Sikiliza juu ya kurejea katika medani ya muziki kwa Mbosso, mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya wa Tanzania ambae aling'aa sana katika bendi iliyokuwa ikijulikana kama Yamoto Band. Zaidi msikilize katika kipindi cha Karibuni akizungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/32WDk