1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Madhila ya mabinti wa Kisukuma

Mohammed Khelef
5 Mei 2023

Mabinti wa kabila la Wasukuma nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto chungu nzima na mojawapo ni kulazimika kuolewa wakiwa na umri mdogo ili kukidhi mahitaji ya kiuchumi ya familia zao. Veronica Natalis anasimulia.

https://p.dw.com/p/4QxnU