1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matukio ya utekaji nyara Tanzania

Rashid Chilumba24 Mei 2019

Makala ya mbiu ya mnyonge inadurusu matukio ya utekaji nyara, utesaji na kutoweka kwa watu nchini Tanzania na kuuliza kwanini taifa linalopigiwa mfano kwa kuwa na amani linataka kugeuga kuwa kitovu cha ukiukwaji mkubwa wa haki za watu.

https://p.dw.com/p/3J1BA