1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 22.09.2018

Sylvia Mwehozi
22 Septemba 2018

Tuliyo nayo mchana huu: Idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya kuzama kivuko cha MV Nyerere katika Ziwa Victoria nchini Tanzania imeongezeka na kufikia watu 167. Kansela Angela Merkel kutafuta suluhisho juu ya kuhamishwa kwa mkuu wa ujasusi wa ndani. Na Papa Francis aanza ziara ya siku nne katika nchi za Baltik.

https://p.dw.com/p/35KnO