1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 13.06.2021

13 Juni 2021

Hali ya kiungo wa kati wa timu ya Denmark Christian Eriksen inaendelea kuimarika hospitalini baada ya kuanguka na kuzirai uwanjani jana wakati wa mechi ya kundi B kati ya nchi yake na Finland kwenye michuano ya kombe la EURO 2020.

https://p.dw.com/p/3upEC