1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 01:08:2021

1 Agosti 2021

Ujerumani imetangaza kanunu mpya na kali zaidi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona. Iran imekanusha madai ya kuishambulia meli ya mafuta Oman. Umoja wa Mataifa umeonya kwamba baa la njaa huenda likaongezeka katika maeneo 23 yanayokumbwa na mizozo ulimwenguni.

https://p.dw.com/p/3yO4F