1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 16.01.2022

16 Januari 2022

Rais wa Mali aliyeondolewa madarakani Ibrahim Boubacar Keita afariki dunia, mpango wa COVAX unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa wa kusafirisha chanjo za virusi vya corona kwa mataifa maskini sasa watoa dozi bilioni 1 na Ufilipino yasema kiongozi wa Myanmar aliyeondolewa madarakani Aung San Suu Kyi ni muhimu katika kurejesha demokrasia katika taifa hilo

https://p.dw.com/p/45ban