1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 06.08.2017

Yusra Buwayhid
6 Agosti 2017

Mawaziri wa kigeni wa Urusi na Marekani wakutana licha ya mvutano kati ya nchi zao. Umoja wa Mataifa walaani vita vya Yemen baada ya mashambulizi yaliyouwa raia kumi na mbili. China kuanzisha mazungumzo na mataifa ya jumuiya ya ASEAN kuhusu Bahari ya Kusini mwa China.

https://p.dw.com/p/2hm4S