1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 02.05.2020

2 Mei 2020

Iran yapinga madai ya Marekani kuhusu msaada wake kwa Venezuela, Algeria yasema haitochukua mkopo kutoka IMF licha ya kukabiliwa na mgogoro wa kiuchumi na Umoja wa Ulaya waonya kuhusu kupungua kwa uhuru wa vyombo vya habari duniani

https://p.dw.com/p/3bhIx