1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

Matangazo ya asubuhi 27.11.2021

TSA / S08S27 Novemba 2021

Hatua ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ya kuweka tena wanajeshi wake karibu na Ukraine ni sehemu ya mbinu za Urusi kushinikiza Marekani iandae mkutano mwingine wa kilele kati ya viongozi wa nchi hizo mbili. Hayo ni kwa mujibu wa wapambe wa ndani katika duru za maswala ya sera za kigeni za Urusi.

https://p.dw.com/p/43YqM