Matangazo ya Asubuhi 09.12.2017 | Media Center | DW | 09.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Asubuhi 09.12.2017

Mzozo kati ya Israel na Palestina washika kasi baada ya Marekani kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel//Dunia leo inaadhimisha siku ya kupambana na rushwa, huku Umoja wa Mataifa ukikadiria kuwa karibu Dola trilioni 1 hutolewa kama rushwa kila mwaka//Katika michuano ya Ligi Kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga,Bayern Munich leo inapambana na Frankfurt.

Sikiliza sauti 51:59