Mataa ya Krismasi katika barabara za Ulaya | Mada zote | DW | 12.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mataa ya Krismasi katika barabara za Ulaya

Huku sherehe zikiwa zinanukia, ni wakati wa mapambo na mataa ya kumetameta. Bustani na barabara za Ulaya zinang'aa kwa mataa. Furaha ya Krismasi iko nasi kwa wakati mwengine.