Maporomoko yahofiwa kuua watu zaidi 350 Uganda | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 02.03.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Maporomoko yahofiwa kuua watu zaidi 350 Uganda

Wilaya ya Bududa nchini Uganda yakumbwa na maafa makaubwa

Baadhi ya maeneo ya milimani nchini Uganda

Baadhi ya maeneo ya milimani nchini Uganda

Nchini Uganda watu 45 wamefariki kufuatia maporomoko ya matope yaliyotokea wilayani Bududa, mashariki mwa Uganda.

Kiasi cha watu wengine 350 wanahofiwa kuwa wamezikwa na matope hayo yaliosababishwa na mvua nyingi zilizoanza kunyesha kiasi cha wiki mbili zilizopita.

Eneo hilo la mkasa liko karibu na mlima wa Elgon ulio kwenye mpaka na nchi ya Kenya. Baadhi ya sehemu za Uganda na Kenya zimepata mvua nyingi katika kipindi cha miezi miwili iliyopita wakati ambapo ni msimu mkavu, kwa kawaida.

Sikiliza taarifa ya Leyla Ndinda kutoka Uganda

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com