Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo mapigano yamezuka upya katika mkoa wa Ituri.
https://p.dw.com/p/FSK4
Matangazo
Mapigano yamezuka tena katika mkoa wa Ituri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baina ya majeshi ya serikali na yale ya waasi katika kijiji cha Bukiringi.