Mapigano Mashariki mwa Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 10.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mapigano Mashariki mwa Kongo

Jeshi la waasi linaloongozwa na Laurent Nkunda katika eneo la mashariki ya Congo, linaripotiwa kuendelea kupambana na majeshi ya serikali.

default

Laurent Nkunda kiongozi wa waasi Mashariki mwa Kongo (DRC)

Kuna ripoti pia kuwa majeshi ya waasi yamezuia barabara kati ya miji ya Bukavu na Goma hali ambayo inaweza kuzuwia shughuli za kawaida za wakaazi wa miji hiyo.

Sekione Kitojo alipata fursa ya kuzungumza na msemaji wa jeshi la waasi Kambusa Ngeze Jean Michel ambae kwanza alimuuliza ukweli wa taarifa hiyo kuhusu kukamatwa kwa eneo la barabara hiyo muhimu na waasi.


O-ton Jean Michel►◄
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com