Mapigano Mashariki mwa Kongo yazuka upya | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mapigano Mashariki mwa Kongo yazuka upya

Mapigano yamezuka upya Mashariki mwa Congo kati ya waasi wa kundi la CNDP la Generali Laurent Nkunda na majeshi ya serikali.

Rais Kabila wa DRC yuko katika ziara ya eneo la mapigano la Kivu ya Kaskazini

Rais Kabila wa DRC yuko katika ziara ya eneo la mapigano la Kivu ya Kaskazini

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo yuko katika ziara ya eneo hilo la mapigano la Kivu ya Kaskazini na inaelezwa hadi sasa hakutoa taarifa yoyote ile hadharani juu ya ziara yake hiyo ambayo ni nadra kufanya katika eneo la mapigano.

Mohamed Dahman alipata fursa ya kuzungumza na mkaazi mmoja wa Goma mji mkuu wa Kivu ya Kaskazini Paterne Inga juu ya mapigano hayo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com