Mapambo kutokana na chupa zilizotupwa | Anza | DW | 04.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mapambo kutokana na chupa zilizotupwa

Wengine walipomaliza kutumia yaliyokuwemo ndani, walizitupa. Lakini yeye aliamua kuziokota hizo chupa na kuzitia nakshi. Kutana na huyu mwanamke mjasiriamali kutoka Tanzania anayepata riziki yake kwa kutengeneza mapambo kutokana na chupa zilizotupwa

Tazama vidio 03:00
Sasa moja kwa moja
dakika (0)