1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Tanzania kama mwenyekiti wa SADC; fursa na changamoto

Daniel Gakuba
16 Agosti 2019

https://p.dw.com/p/3O1xF

Tanzania imechukua wadhifa wa mwenyekiti wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Kusini mwa Afrika, SADC. Je ni zipi fursa na changamoto zinazomkabili Rais John Magufuli kama mwenyekiti wa Jumuiya hiyo? Sikiliza kipindi cha Maoni mbele ya Meza Duara.