1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Nafasi ya timu za Afrika Qatar 2022

Josephat Charo
26 Novemba 2022

Wenyeji wa kombe la dunia la kandanda Qatar wamepigwa kumbo na kutolewa nje ya mashindano hayo baada ya kuchapwa 3-1 na Simba wa Teranga, Senegal katika mechi iliyochezwa Ijumaa Novemba 25. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni kuhusu fursa za nchi za Afrika katika mashindano hayo.

https://p.dw.com/p/4K7gW