Maktaba ya vitabu inayozunguka Mwanza | Masuala ya Jamii | DW | 25.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Maktaba ya vitabu inayozunguka Mwanza

Katika jiji la Mwanza wajasiriamali jamii wawili wameanzisha mradi wa maktaba ya vitabu inayozunguka "My Little travelling Library" wakitumia matoroli. Jiunge na mwandishi wetu Dotto Bulendu ujifunze mengi.

Sikiliza sauti 09:44

Sikiliza kipindi cha Dotto Bulendu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com