Maji huzusha vurugu kijiji cha Secheck | Anza | DW | 08.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Maji huzusha vurugu kijiji cha Secheck

Kijiji cha Secheck kilichoko mkoa wa Manyara huko Tanzania kina uhaba mkubwa maji na kati ya wanaotaabika ni wanawake. Kawaida wanatembea mwendo mrefu kuyatafuta ila wanapofika katika sehemu ya kutekea maji, changamoto nyengine huwakumba, kupambana na wanaume.

Tazama vidio 01:10
Sasa moja kwa moja
dakika (0)