Maisha ya wakaazi wa Johannesburg yanahatarishwa na uchafu wenye sumu | Media Center | DW | 03.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maisha ya wakaazi wa Johannesburg yanahatarishwa na uchafu wenye sumu

Maisha ya maelfu ya wakaazi wa Soweto, Afrika Kusini yako hatarini kutokana na maji yenye sumu na vumbi. Watu hao wanaishi karibu na eneo lenye rundo la uchafu wenye sumu iliyokusanyika wakati ilipogundulika migodi ya dhahabu katika karne ya 19.

Tazama vidio 02:09
Sasa moja kwa moja
dakika (0)