1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha ya Kampasi kipindi cha janga la corona

Sylvia Mwehozi6 Julai 2020

Vijana Mchaka Mchaka inazungumza na baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania ambao wanarejea vyuoni baada ya kuwa likizo ya lazima kutokana na janga la virusi vya corona. Je wamejiandaa vipi na maisha mapya ya vyuoni wakati huu ambapo hatua za kujikinga na ugonjwa huo bado zinashauriwa? Sylvia Mwehozi ndiye mtayarishaji wako.

https://p.dw.com/p/3erPr