1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yatupilia kesi

Tatu Karema
30 Septemba 2022

Mahakama ya jumuiya ya Afrika Mashariki imetupilia mbali maombi ya wananchi wa jamii ya wafugaji ya Maasai katika kesi iliyohusisha mgogoro wa ardhi baina ya serikali ya Tanzania na wananchi hao wa wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha. Kwa maoni yako, unadhani nini kinaweza kufanywa kumaliza mvutano kati ya jamii hiyo na serikali? #Kurunzi 30.09.2022

https://p.dw.com/p/4HbTI