Magufuli asisitiza tena Tanzania haina COVID-19 | Masuala ya Jamii | DW | 22.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Magufuli asisitiza tena Tanzania haina COVID-19

Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa nchi hiyo imeutokomeza ugonjwa wa Covid-19 kutokana na maombi. Magufuli aliyasema hayo katika ikulu ya Rais mjini Dodoma katika hafla ya kuwaapisha wakuu wapya wa wilaya na mikoa. Dr.Sajad Fadhil ni daktari na mtafiti kutoka nchini Canada, ipi ni tathmini yake?

Sikiliza sauti 03:35