1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Magufuli aapishwa kwa muhula wa pili

Bruce Amani5 Novemba 2020

Rais mteule wa Tanzania, John Magufuli ameapishwa leo kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, na kisha kuibuka mshindi katika uchaguzi huo.

https://p.dw.com/p/3ku13

 Sherehe hizo za kumuapisha Rais Magufuli pamoja na makamu wake Samia Suluhu Hassan zimefanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma makao makuu ya Tanzania. Bruce Amani amezungumza na mwandishi wetu Deo Kaji Makomba aliyehudhuria sherehe hizo.Sikiliza