Serikali ya Tanzania imesema huu utakuwa utekelezaji wa sheria mpya ya huduma za vyombo vya habari iliyopitishwa mwaka 2016. Wakosoaji wanahofia kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari.
https://p.dw.com/p/2ih1L
Matangazo
J2.23.08.2017 Newspaper re-registration Tanzania - MP3-Stereo