1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko katika Ziwa Victoria

17 Aprili 2020

Mafuriko yanashuhudiwa katika ziwa Victoria Afrika Mashariki. Nchini Uganda, mafuriko hayo yamesababisha athari nyingi kwa wakaazi na wafanyabiashara. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi

https://p.dw.com/p/3b3Nn