Maelfu wakimbia vita Kongo | Media Center | DW | 16.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maelfu wakimbia vita Kongo

Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamekimbilia Uganda, kutokana na ghasia zinaongezeka kaskazini mashariki mwa Kongo. Zaidi ya watu 34,000 wamevuka mpaka kwenda Uganda tangu mwanzoni mwa mwaka huu.

Tazama vidio 01:21